International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Ni documentaries mbili zinazoeleza Jinsi Russia ilivyo tayari kukabiliana na adui huku nyingine ikielezea jinsi Askari wa Syria walivyo tayari kukabiliana na chochote kwa hali yoyote. Ya Syria...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Uenda maonesho haya yalikuwa rasmi kwa ajili ya kumuonesha Marekani baadhi tu ya silaha wanazomiliki
0 Reactions
1 Replies
947 Views
Rais Erdogan ameshinda kura ya maoni ya kumuongezea madaraka na mamlaka kama rais kwa 51.4% ya wananchi kumpigia kura ya ndio. Ushindi huu unamaanisha kuwa Rais huyo atakuwa na nguvu kuliko...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ametoa rasmi amri kushambuliwa kwa vituo vya nuclear vya Korea Kaskazini. Sasa kinachosubiriwa ni majeshi ya nchi hiyo yaliyopiga kambi bahari ya PPasific...
13 Reactions
60 Replies
7K Views
More than 1,100 soldiers to be stationed in Orzysz, about 57km south of Russia's Baltic Sea enclave of Kaliningrad. Poland on Thursday welcomed the first US troops in a multinational force...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Taifa korofi duniani, Korea kaskazini, limechukua hatua za dharura na haraka za kuhamisha raia wake wapatao 600,000 na kuwapeleka ktk miji mingine baada ya Marekani kujiandaa kuishambulia kijeshi...
12 Reactions
169 Replies
34K Views
Marekani imedondosha bomu kubwa la kabisa kuliko yote(non-nuclear) dhidi ya Islamic state nchini Afghanistan. Msemaji wa jeshi la Marekani anasema bomu hilo limedondoshwa mashariki mwa Afghanistan...
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Korea ya Kaskazini imewahi kupigana vita na nchi gani na matokeo yake yalikuwaje? Mwenye historia hiyo naomba atujuze.
0 Reactions
2 Replies
856 Views
Waziri wa Fedha, Patrick Chinamasa ameonesha uhitaji wa benki kufanya kazi kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi hiyo. Waziri huyo amewasilisha Muswada Bungeni ambao utazilazimisha Benki...
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Wizara ya Mambo ya nje ya Korea Kaskazini imesema haitasita kujihami na vitendo vya Kamandi ya majini ya Majeshi ya Marekani kuhusu kusogeza vifaa vya kijeshi na majeshi yao karibu na pwani ya...
10 Reactions
238 Replies
29K Views
Mwaka 2002 nikiwa na miaka sita nilikuwa sijui mengi ila nilishuhudia kwa TV Mmarekani akimunyoosha Iraq hadi huruma!!!.Niliichukia sana Marekani na naichukia hadi Leo kwa kuua watu ovyo.Ila...
6 Reactions
37 Replies
4K Views
Taarifa zinazoenea katika vyombo ya kimataifa ni kuwa Jana Korea Kaskazini wamefanya Jaribio la kombora ambalo kwanza halijulikani maana mapanki aliistua dunia alipotokea na makombora ambayo...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mama wa mabomu yote duniani (Bomu ambalo halina mahusiano na nuklia) - Massive Ordinance Air Blast bomb AKA Mother Of All Bombs (MOAB) lenye uzito wa kilogram 10,300, (22,600lb) na ujazo wa tani...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Voting is under way in Turkey in a landmark referendum that will determine whether President Recep Tayyip Erdogan will be granted sweeping new powers. Mr Erdogan's supporters say replacing the...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Jeshi la anga la Marekani limefanyia majaribio bomu lake jipya la nyuklia B61-12. Jaribio hilo lililofanyika March 14 kwenye jangwa la Nevada limewekwa wazi Leo kwamba lilikua la mafanikio...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Maafisa wa usalama nchini Afghanistan wanasema kua zaid ya wapiganaji 90 wa kundi la kigaidi la Islamic State waliuawa na bomu kubwa lililodondoshwa na Marekani mnamo alhamisi. Kiasi hicho ni...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
The Pentagon says U.S. forces in Afghanistan dropped the military’s largest non-nuclear bomb on an Islamic State target in Afghanistan. Adam Stump is a Pentagon spokesman. Stump says it was the...
7 Reactions
200 Replies
16K Views
Katika mkutano wa dharula unaondelea huko UN, balozi wa Marekani bibi Nikki Haley amesema kwamba Marekani imejiandaa ipasavyo kufanya zaidi huko Syria iwapo serikali ya Assad itaendelea na unyama...
1 Reactions
59 Replies
4K Views
Askari wa usalama wa rais wamejikuta katika hali isiyo ya kawaida kwenye kumlinda Trump na familia yake. Ana watoto watano na wanaishi sehemu mbali mbali na wamesisitiza kusafiri kwa misafara...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Russia imesema inalipatia Jeshi la Syria ndege kumi aina ya Sukhoi - SU 24M2 Fencer - D kwa ajili kuendeleza mapambano /Aircraft Russia - Air Force Sukhoi Su-24M2 Reg.: RF-92247 MSN: 1341620...
6 Reactions
73 Replies
12K Views
Back
Top Bottom