ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,417
- 9,603
Katika mkutano wa dharula unaondelea huko UN, balozi wa Marekani bibi Nikki Haley amesema kwamba Marekani imejiandaa ipasavyo kufanya zaidi huko Syria iwapo serikali ya Assad itaendelea na unyama dhidi ya raia wasio na hatia.
Source: ABCnews & CNN
Msikilize hapa
Updates.
•Marekani yakana kuipa taarifa serikali au kiongozi wa Urusi(Vladimir Putin) kuhusu mashambuliz ya Syria.
•Jeshi la Marekani lathibitisha kwamba makombora 58 kati ya 59 yote yalitua mahali husika na si vinginevyo.
•Iran yalaani vikali shambulizi la makombora dhidi ya Syria.
•Urusi yailamu Uingereza kwa kuunga mkono mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
•Ndege za jeshi la Syria zilizosalia kwenye ngome ya kijeshi iliyoshambuliwa hapo Jana zimeondoka eneo hilo baada ya onyo la balozi wa Marekani kwenye mkutano UN.
Source:abcNews & Telegraph