Zimbabwe: Muswada utakaoruhusu mifugo kutumika kama dhamana ya mikopo benki wawasilishwa Bungeni

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
1,745
4,277
Waziri wa Fedha, Patrick Chinamasa ameonesha uhitaji wa benki kufanya kazi kulingana na mahitaji ya kiuchumi ya nchi hiyo.

Waziri huyo amewasilisha Muswada Bungeni ambao utazilazimisha Benki kukubali mifugo itumike kama dhamana katika kutoa mikopo kwa wananchi.

Mbali na mifugo, magari, TV, Majokofu, kompyuta na vifaa vingine vya nyumbani vitakubalika kama dhamana baada ya kutathminiwa na kusajiliwa na Benki Kuu kama Muswada huo ukipitishwa kuwa sheria.

=======

Zimbabwe’s Finance and Economic Development Minister, Patrick Chinamasa, has underlined the need for banks to respond to the needs of the country’s highly informalized economy.

According to him, banks in their current shape were “stuck in the old ways of doing things and failing to respond to the needs of our highly informalised economy.”

The Minister earlier this week tabled a new bill before parliament, one that could compel commercial banks to accept livestock as collateral for cash loans.

“As minister in charge of financial institutions, I feel there is (the) need for a change of attitude by our banks to reflect our economic realities,” he is quoted to have said.

Under the Movable Property Security Interests bill, which is at the debate level in the House of Assembly, the Reserve Bank of Zimbabwe will compile and administer a collateral security register in which movable assets could be presented as security for credit.

The bill hopes to cushion small-business operators and individuals who find it difficult to secure bank loans due to lack of collateral.

Beside livestock, vehicles, television sets, refrigerators, computers and other household appliances will become acceptable as collateral after evaluation and registration in the central bank’s register, Chinamasa added.

The Zimbabwean economy has been hit by an acute cash shortage sometime last year. It forced the government to introduce bond notes that had the value of the US dollar. Before that, the drought-hit nation had mainly used the US dollar since eight years ago.

The country abandoned the Zimbabwean dollar as a result of economic mismanagement and hyperinflation which rendered the local currency worthless. Even with the new bond notes, there are issues with limited cash withdrawals.


Source: Africanews
 
Ha ha ha! Upumbavu mtupu. Wakati wengine wakitafiti possibility ya binadamu kuishi sayari nyingine sie bado tuko kwenye batter system! Poor Africa! Sorry, sikuhitaji hata kusoma hiyo habari.
 
Hapo Zimbabwe wanaume si tuna wa discourage wafugaji badala ya kuongeza Mifugo tuna wa encourage wapunguze tutajenga viwanda vya nyama? Ma ranch yamegawiwa kwa wanasiasa na huenda ni under utilized Mukulu aunde tune achunguze waliogawiwa ranch na kama wanazitumia vilivyo n.a. Mimi amuweke kwani nawapenda wafugaji n.a. n.a. wahurumia wanavyo filisiwa.
 
Ha ha ha! Upumbavu mtupu. Wakati wengine wakitafiti possibility ya binadamu kuishi sayari nyingine sie bado tuko kwenye batter system! Poor Africa! Sorry, sikuhitaji hata kusoma hiyo habari.
Na bado unaamini ule ni upumbavu na huu sio?
 
Back
Top Bottom