Ya Russia Sisimuzi na Ya Syria Mguso

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
24,745
24,793
Ni documentaries mbili zinazoeleza Jinsi Russia ilivyo tayari kukabiliana na adui huku nyingine ikielezea jinsi Askari wa Syria walivyo tayari kukabiliana na chochote kwa hali yoyote. Ya Syria inagusa na Ya Russia ina sisimua. Fuatilia link mbili hapo chini.
-------
Ya Russia:
Code Name Sickle: Exploring Russia’s mobile nuclear missile systems

Ya Syria:
https://rtd.rt.com/files/films/unbroken-in-syria/unbroken-in-syria_6.mp4
Hayana maana yoyote maigizo tu wote tumeona juzi juzi USA kamtimbatimba Syria huku kibabu Putin yupo na hakuna yoyote aliyesema nyoko now zamu ya kipank soon dunia itakua shahidi kwa Yale yatakayotokea Korea....Hivi mnajua maana ya "NCHI YENYE NGUVU KUBWA KABISA ZA KIJESHI DUNIANI au mnaongeaga tu story za kwenye kahawa?
 
..... .. wote tumeona juzi juzi USA kamtimbatimba Syria huku..........
Kabla ya shambulio la kambi ya kijeshi ya 'ash Shyarat' huko Syria, USA na Russia walikuwa na MoU iliyokuwa inazuia kutokea kwa mgongano wa ndege za kivita ama silaha katika anga ya Syria. baada ya shambulio hilo la Ijumaa...kesho yake Russia ikavunja MoU hiyo. Na toka siku hiyo US hajafanya ujinga wowote kwa Majeshi ya Syria, Ujiulize kwa nini!

Jana inasemekana yamelipuliwa makombola mengine ya Sumu huko Syria nasubiri....shambulio lingine la kushtukiza kutoka kwa so called 'Super power state' ikifanya uhuni dhidi ya majesh ya Syria.
 
Acha maigizo mkuu Ina maana taarifa hizo unazo wewe tu...Acha maneno weka source ya habari yako....
 
Back
Top Bottom