Maandalizi ya Vita: Korea Kaskazini yawahamisha raia 600,000 kutoka mji mkuu Pyongyang

My Son drink water

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
4,932
13,293
Taifa korofi duniani, Korea kaskazini, limechukua hatua za dharura na haraka za kuhamisha raia wake wapatao 600,000 na kuwapeleka ktk miji mingine baada ya Marekani kujiandaa kuishambulia kijeshi nchi hiyo kutokana na majaribio yake ya mara Kwa mara ya makombo ya nuclear pamoja na yale ya masafa marefu.
Sababu za kuwahamisha raia hao inadaiwa ni kutoa nafasi Kwa jeshi la kikosi cha makomandoo ili waweze kuulinda mji huo mkuu Kwa Uhuru zaidi na kuwaepushia raia madhara.
83b4e6bffe98ba4f4a5099c4966a6e81.jpg

Jiji la Pyongyang Korea kaskazini.

Manowari za kijeshi za Marekani tayari Zipo ktk peninsula ya Korea zikisubiri amri ya kushambulia kutoka White House.
a4f90d25597f5dcea7fcd5033c72ce03.jpg

Rais Kim Jong Un akikagua kikosi cha makomandoo porini.
 
ili dunia pawe pahala salama pa kuishi inabidi kuwe na taifa moja tu lenye nguvu. lakini kwa utaratibu wa sasa North Korea nae anajitia kidume wa Korea Penisula. Russia kidume wa Syria na Krimea. ISIS vidume wa Mosoul. utaratibu huu ni mbovu Trump lazima apambane kuuzima.
 
Kwanza mnakosea mnavyosema taifa korofi duniani, kila nchi ina haki ya kujilinda na kumiliki silaha kadiri iwezavyo ila haipaswi kuingilia Uhuru wa taifa lingine

Sasa hapo north Korea ana shida gani maana anamiliki nuclear kama marekan na washirika wake, pia anafanya mazoezi kama nchi zingine na haingilii Uhuru wa mataifa mengine.

Mwenye shida hapo ni U.S maana anataka kuwazuia wenzake wasimiliki silaha ambazo yeye anazimiliki pia anaingilia Uhuru wa mataifa mengine kwa kutaka kuwaelekeza nn cha kufanya na kipi si cha kufanya
 
Hii Nchi ni wazalendo sana na kama Marekani ataishambulia basi hii vita itakuwa ya aina yake tangu US apigane vita hii itampa changamoto kubwa na ngumu kuvuka.

Nimesikia jioni ya jana wananchi wanadai hawana hofu na Vitisho vya US (nadhani unaweza kuona namna gani hii mpango wa US juu ya NK usivyoogopesha roho za Wakorea).

Trump ana nyuklia Na Kim ana nyuklia sijawahi kusikia Kim kashambulia nchi na Makombora yake licha ya kufanya majaribio ya silaha zake ila sasa hivi lazima yatalipuka hali inavyoonesha lazima makombora yataturusha na watu watararuana kidogo.
 
Mkuu korea atabakwa hadharani!!!
Kuwa na silaha ni jambo moja na kuitumia hiyo silaha ni jambo jingine muhimu zaidi.

Vuta subira uone "mother of all bombs" litakavyofukunyua udongo litakavyoteketeza nuclear arsenal ya kim jong UN na kuacha Shockwaves korea mpaka china.
 
Wewe hakuna unalojua tofauti na kubakwa.

Hapa hakuna ushabiki ila ukijua kuhusu Nuclear huwezi ona fahari kujinadi hivyo huku ukikata uone damu za watu
 
Sadamu Hussein alibakwa shimoni!
Alipigwa mtungo.
Wanaume wakathibitisha uwezo wa silaha zao.
Wakarudi kuziongezea ufundi zaidi halafu wewe kim jong un unawaalika jamaa wafanyie majaribio silaha zao unategemea nini?

Watapigwa kweli ujue!!!!!?
Shauri yao.
 
Nimekwisha kujua wewe ni mtu wa aina gani nitaweza kwenda sambamba na wewe hadi nikufikishe kileleni usijali kwa hilo
 
Civil or military retreat is a sign of defeat. Wa Korea wameonesha udhaifu kurudi nyuma kiraia. Hapo wamemuonesha mmarekani zilipo Arsenal za Nyuklia, yaani mabomu ya Nyuklia hayapo wanapohama raia Bali yapo wanapopelekwa raia. Hii inaitwa target diversion a.k.a kumhadaa adui. Kinyume chake ni kuwa marekani itapiga sehemu zote mbili. Yaani mabomu yatalindima walipohamishwa raia, na ujasusi wa kipelelezi kimya kimya utafanywa kwenye real target (walikopelekwa raia)
 
ili dunia pawe pahala salama pa kuishi inabidi kuwe na taifa moja tu lenye nguvu. lakini kwa utaratibu wa sasa North Korea nae anajitia kidume wa Korea Penisula. Russia kidume wa Syria na Krimea. ISIS vidume wa Mosoul. utaratibu huu ni mbovu Trump lazima apambane kuuzima.
Who is trump or USA??acha kukariri mkuu mambo yanebadilika
 
Back
Top Bottom