Mnyoa kiduku wa north Korea akijichanganya tu kwa Mmarekani.......Amekwishaaa!!!

Mr the dragon

JF-Expert Member
Apr 14, 2017
1,938
3,704
Mwaka 2002 nikiwa na miaka sita nilikuwa sijui mengi ila nilishuhudia kwa TV Mmarekani akimunyoosha Iraq hadi huruma!!!.Niliichukia sana Marekani na naichukia hadi Leo kwa kuua watu ovyo.Ila nikiweka hisia pembeni huyu rais wa north Korea(mnyoa viduku)anachokitafuta atakipata very soon na nuke Zakeee!

1.Marekani ana silaha nzito na za maangamizi kuliko North Korea.historically marekani nuclear test yake ya kwanza ilikuwa 1945 wakati North Korea ilikuwa mwaka 2006 juzijuzi tu.Mara ya mwisho Marekani kufanya test ilikuwa 1999 na ilishafanya test zaidi ya 1000 wakat NK walifanya kama Mara sita tuuu!

Marekan wana siraha hatari kama B 41 lenye 25 Mt,MK 17,TX 21 etc bdo kna mnyama MOAB achana na vibomu vya huyo mnyoa viduku ambavyo ni old technology ya 1940's kwa Mmarekani ata ile hydrogen bomb ya mwaka 1958 INA nguvu Mara tano kuzid yaliyolipuliwa Nagasaki achana na Mmarekani wewe.

kingine Marekani ana navy na airforces za kutosha kushambulia kutoka angani pia uhusiano wake na SK na Japan unampa urahisi kuingiza hardware NK lakini hakuna uwezekano NK kupeleka hardware Marekani kwanza hana navy za kutosha af zinaweza kushambuliwa na airforces Kabla hazijafika US.Marekani ana ICBMs za kifika NK wakat NK wanazo lkn haziwez fika US.NK yuko kama thirty years behind America kwenye technology ya siraha.

2.washirika wa NK wa ni China na Russia lakini mshirika naye mwona wa kweli ni Russia lakini China yupo bize kujenga uchumi hawezi ingia kwenye vita ambayo inaweza kumuharibia!!!Nadhan unajua undugu wa NATO hawa wana mikataba yao ya kusaidina hawawezi kutupana sasa chek mzik wa NATO kama hujui France na UK wana nuke kuliko NK sasa nambie mziki wake

3.population ya US ni kubwa 1/15 kuliko NK so kuiangamiza population ya watu 315 million sio simple km NK anavodhani lakini US kuangamiza ya NK ni simple.....Nawashauri NK wasiguse moto wa Mmarekani watabaki history nawasilishaaaaaa
 
badala muombee amani duniani pasaka hiii unaleta ushabiki wa kipuuuzi. Tanzania ndo mana tunarudi nyuma kwa kasi ya hatari kwa watu mende kama nyinyi yani mnapoteza muda kushabikia vita ili amani ikosekane kwa vitu ambavyo hata havikuhusu acha ukenge mtoa mada kwanza mtoto mdogo bado 2002 bado unanyonya
 
We unazani mmarekani haogopi?? Trump akigusa TU pale. Vile visasi vyote vitakua vimetafutiwa mwanya.
 
badala muombee amani duniani pasaka hiii unaleta ushabiki wa kipuuuzi. Tanzania ndo mana tunarudi nyuma kwa kasi ya hatari kwa watu mende kama nyinyi yani mnapoteza muda kushabikia vita ili amani ikosekane kwa vitu ambavyo hata havikuhusu acha ukenge mtoa mada kwanza mtoto mdogo bado 2002 bado unanyonya
Nadhan hujanielew ndo maana nikawashaur NK waachane na Mmarekan ata kama anawaonea tayar mwenzao ni superpower hivyo lazima aonekane mkorofi.Kim Jong UN ajenge nchi yake akileta utani na watoto w Trump at a pig's tu maana hamna namna nyingine!!!
 
badala muombee amani duniani pasaka hiii unaleta ushabiki wa kipuuuzi. Tanzania ndo mana tunarudi nyuma kwa kasi ya hatari kwa watu mende kama nyinyi yani mnapoteza muda kushabikia vita ili amani ikosekane kwa vitu ambavyo hata havikuhusu acha ukenge mtoa mada kwanza mtoto mdogo bado 2002 bado unanyonya
Kweli kabisa
 
Mwaka 2002 nikiwa na miaka sita nilikuwa sijui mengi ila nilishuhudia kwa TV Mmarekani akimunyoosha Iraq hadi huruma!!!.Niliichukia sana Marekani na naichukia hadi Leo kwa kuua watu ovyo.Ila nikiweka hisia pembeni huyu rais wa north Korea(mnyoa viduku)anachokitafuta atakipata very soon na nuke Zakeee! 1.Marekani ana silaha nzito na za maangamizi kuliko North Korea.historically marekani nuclear test yake ya kwanza ilikuwa 1945 wakati North Korea ilikuwa mwaka 2006 juzijuzi tu.Mara ya mwisho Marekani kufanya test ilikuwa 1999 na ilishafanya test zaidi ya 1000 wakat NK walifanya kama Mara sita tuuu! Marekan wana siraha hatari kama B 41 lenye 25 Mt,MK 17,TX 21 etc bdo kna mnyama MOAB achana na vibomu vya huyo mnyoa viduku ambavyo ni old technology ya 1940's kwa Mmarekani ata ile hydrogen bomb ya mwaka 1958 INA nguvu Mara tano kuzid yaliyolipuliwa Nagasaki achana na Mmarekani wewe.kingine Marekani ana navy na airforces za kutosha kushambulia kutoka angani pia uhusiano wake na SK na Japan unampa urahisi kuingiza hardware NK lakini hakuna uwezekano NK kupeleka hardware Marekani kwanza hana navy za kutosha af zinaweza kushambuliwa na airforces Kabla hazijafika US.Marekani ana ICBMs za kifika NK wakat NK wanazo lkn haziwez fika US.NK yuko kama thirty years behind America kwenye technology ya siraha. 2.washirika wa NK wa ni China na Russia lakini mshirika naye mwona wa kweli ni Russia lakini China yupo bize kujenga uchumi hawezi ingia kwenye vita ambayo inaweza kumuharibia!!!Nadhan unajua undugu wa NATO hawa wana mikataba yao ya kusaidina hawawezi kutupana sasa chek mzik wa NATO kama hujui France na UK wana nuke kuliko NK sasa nambie mziki wake
3.population ya US ni kubwa 1/15 kuliko NK so kuiangamiza population ya watu 315 million sio simple km NK anavodhani lakini US kuangamiza ya NK ni simple.....Nawashauri NK wasiguse moto wa Mmarekani watabaki history nawasilishaaaaaa
Ila naona umetekwa na propaganda nyiiingi za wamarekani
 
Back
Top Bottom