Jeshi la Urusi laipatia Jeshi Syria ndege 10

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
12,247
38,811
Russia imesema inalipatia Jeshi la Syria ndege kumi aina ya Sukhoi - SU 24M2 Fencer - D kwa ajili kuendeleza mapambano /Aircraft
Russia - Air Force
2233290.jpg

Sukhoi Su-24M2
Reg.: RF-92247
MSN: 1341620
Code: 44 red
Location & Date
Withheld
Russia - February 2013
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
 
Hivi unajua uchumi wa USA? Russia Bado Kuna Njaa

Kwenye hii vita nilichona ni kuwa Russia ni Super power national ndio mana UN(US) wanaseek solution in diplomatic way. Ila wangekuwa Russia ni kijitaifa kdg. Wangekavamia pamoja na Syria yao.

Uduzungwa
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
hvyo ni vitu viwili tofauti,SATAN ni nuclear bomb while MOAB ni conventional bomb si huwez kufananisha, pia kusema SATAN inaweza zamisha UK yote ni uongo mkuu jaribu tu kuangalia raman uone UK ilivyo then utaona ni jins gan hsaiwezekan
 
unajua maana ya supepower mkuu?
 
Hongera Russia,ww ni rafiki wa kweli,Wasaidie wasyria
kitu alichonifurahisha Putin ni pale aliposema ataendelea kumsapoti Bashar hadi pale atakapojua "marekani wanataka nini kutoka syria bila Bashar Al Assad". Hapo lazima marekani wameona kuwa huyu jamaa kuna kitu anawabania. Na kwenye campaign Trump alisema dhahiri "USA (OBAMA ADMINISTRATION) invented ISIS" kwa lengo gani hatujui.
 
hvyo ni vitu viwili tofauti,SATAN ni nuclear bomb while MOAB ni conventional bomb si huwez kufananisha, pia kusema SATAN inaweza zamisha UK yote ni uongo mkuu jaribu tu kuangalia raman uone UK ilivyo then utaona ni jins gan hsaiwezekan
Hiyo habari niliingia Google,katika kupata ABC za hayo mambo. Sasa,huko Google kama ulivyosema,SATAN2 ni Nuke Supporting Bomb,lakini hilo la ku wipe hizo nchi zimo humo kwenye google kwenye gazeti la The Telegraph la UK. Hizo ni taarifa zilizotolewa wakati wa majaribio mwaka nadhani 2011
 
Kuna ile kitu ya US inatwa MOAB-Massive Ordinance Air Balistic/Mother Of All Bombs, lakini kuna SATAN 2, Je kwenye Millitary Capability ipi ni tishio?!

Nimesoma mahali,SATAN2 inaweza kuizamisha France au UK au Texas kwa Kombora moja tu. Hii sasa ni sifa ya kijinga hii.
kitu chenyewe kinaitwa "SATAN" ulitegemea nn hapo mkuu
 
Back
Top Bottom