Rais Donald Trump wa Marekani atoa amri kushambuliwa vituo vya nuclear vya Korea Kaskazini

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,595
36,015
Hatimaye Rais Donald Trump wa Marekani ametoa rasmi amri kushambuliwa kwa vituo vya nuclear vya Korea Kaskazini.

Sasa kinachosubiriwa ni majeshi ya nchi hiyo yaliyopiga kambi bahari ya PPasific karibu na Korea kuanza kutekeleza amri hiyo.

Hilo litakuwa ni shambulio la tatu kubwa kufanywa na rais Trump baada ya lile la Syria na Afghanistan. Hata hivyo shambulio hilo linatatajiwa kuwa vita kamili kutegemea na majibu kutoka Korea Kaskazini.
 
Mkuu, habari hii haina ukweli.
 
Huo ndio uchizi mnaanzisha maada za uongo mnajaza sever tu..
Hivi hamuoni forum za wenzenu? Kuna upuuzi kama wenu huu?
 
Yani amri itoke wewe Mmatumbi wa Dar upate taarifa kabla amri haijatekelezwa!??
 
Back
Top Bottom