Daz denny
JF-Expert Member
- Nov 19, 2016
- 390
- 378
Wafanyabiashara 13 wa Wilaya za Babati na Hanang’ Mkoani Manyara, wamesalimisha katoni 1,540 za pombe zilizofungashwa kwenye karatasi (viroba) zenye thamani ya sh140 milioni.
Mmeonesha uzalendo mkubwa bila kuzingatia hasara Mlio pata! Mungu atawazidishia!
Mmeonesha uzalendo mkubwa bila kuzingatia hasara Mlio pata! Mungu atawazidishia!