Barabara mojawapo Dar au Dodoma zipewe jina la Mbwana Samatta

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
957
Kwa jinsi anavyo watesa wazungu kwa kweli anailetea sifa nchi.kumuenzi straika huyu mzalendo wa kwanza kufanikiwa kimpira napendekeza barabara ipewe jina lake.nikijaribu kureason naona haja ipo
 
Barabara hapana. Barabara nzuri zote wameshagawana. Tumpe lile soko pale Kariakoo.
 
Kwa jinsi anavyo watesa wazungu kwa kweli anailetea sifa nchi.kumuenzi straika huyu mzalendo wa kwanza kufanikiwa kimpira napendekeza barabara ipewe jina lake.nikijaribu kureason naona haja ipo
Wabongo ndio mwisho wenu wa kufikiri fidel castro alikuwa shujaa wa nchi yake lakini alikataa jina lake lisipewe kitu chochote hata akifa mzee alikuwa anabusara sio mtu wa kujikweza
 
Subirini kwanza afike mbali acheni kumchosha mapema hivyo.

Kwa jinsi anavyo watesa wazungu kwa kweli anailetea sifa nchi.kumuenzi straika huyu mzalendo wa kwanza kufanikiwa kimpira napendekeza barabara ipewe jina lake.nikijaribu kureason naona haja ipo
 
Bado sana samatta....nitamkubali akicheza ....man u....au Madrid
 
True bado sana...hata ligi anayochezo haina msisimuko ....ila anajitahidi sana ...ni wakati wa kumpeleka ligi kubwa kama Spain England Italy ama Ujerumani huo ndio ukweli
 
Wabongo ndio mwisho wenu wa kufikiri fidel castro alikuwa shujaa wa nchi yake lakini alikataa jina lake lisipewe kitu chochote hata akifa mzee alikuwa anabusara sio mtu wa kujikweza
Acha uongo mbona shule niliosoma inaitwa Fidel Castro? Ipo chake chake Pemba
 
Back
Top Bottom