Kamanda Sirro: Bado tunamshikilia Vanessa Mdee

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,385
24,939
full_size_20170310202029.jpeg


Kamanda Sirro: "Tunamshikilia msanii Vanessa Mdee toka jumatano ambaye taarifa zinaonyesha kuwa ni mtumiaji lakini pia ni msambazaji wa dawa za kulevya, tunaendelea na uchunguzi wetu na tukikamilisha uchunguzi wetu na ikathibitika kama ana kosa la kujibu basi, tutamfikisha mahakamani".

Chanzo: EATV
 
View attachment 479272Tunamshikilia msanii Vanessa Mdee toka jumatano ambaye taarifa zinaonyesha kuwa ni mtumiaji lakini pia ni msambazaji wa dawa za kulevya, tunaendelea na uchunguzi wetu na tukikamilisha uchunguzi wetu na ikathibitika kama ana kosa la kujibu basi, tutamfikisha mahakamani". -

Kamanda Sirro.


Chanzo : EATV
Kama itakuwa hivyo msanii jux anakhali mbaya sana, yy anacheza nawasambazaji tu
 
K
Yaani unamkamata mtu ukitegemea akwambie kama anatumia, anasambaza au vyote kwa pamoja?!!!
Huna intelligence ya kum-track umkamate ni ushahidi!!!!!!!
Huko CCP na KURASINI huwa wanafundishwa nini?
SIRO UNAKERA.
Kazi kwa mihemko. Intelijensia weka mfukoni
 
Back
Top Bottom