Fao La Kujitoa
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 396
- 966
Rudisheni hao vijana nyumbani. Wana cheza tu kombolela msituni huko na kuzidi kuota vitambi . Kwanza kagame na magu ni marafiki Hawana uadui na hawakomoani. Wastage of public funds and taxes. Kuna mapori mengi nchini warudi waclear na walime na waamishe maji mtoni Kwa ajili ya irrigation.
Ni aibu watu wazima kucheza kombolela tena msituni.
Shame!
Ni aibu watu wazima kucheza kombolela tena msituni.
Shame!