king's lawyer
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 408
- 358
Wadau salamu sana,
Kwa mazoea kawe beach ni sehemu maarufu kwa uchomaji wa samaki jijini,mbali na ukweli kuwa zipo sehemu nyingine kama Meeda sinza,Safari carnivor ambapo mchomaji maarufu wa kawe siku za nyuma alihamia hapo.
Siku za nyuma pia maeneo ya chabg'ombe ilikuwepo bar maarufu FIRST AND LAST napo walikuwa wanachoma,sina hakika kama wanaendelea.
Watu walikuwa wanajaa sana Kawe beach,ila kwa siku za karibuni naona hali si nzuri,au watu wamebadili kiwanja?au samaki sasa ni anasa?
Wadau naomba kujua fikra zenu.