Pyepyepye
JF-Expert Member
- Jan 6, 2017
- 1,940
- 3,829
Dereva wa bodaboda aliyekuwa amebeba nyavu za samaki, zilizozuiliwa kutumika amepata ajali baada ya kuligonga gari dogo wakati akijaribu kukatiza barabara ili kulikimbia gari la aina ya noah lililokuwa likimfukuzia kwa nyuma, gari hilo linaloaminika kuwa lilikuwa na maaskari ndani yake lilikimbia baada ya kutokea kwa ajali hiyo.
Ajali hii imetokea sasa hivi hapa
musoma maeneo ya mtaa wa kenedy
Ajali hii imetokea sasa hivi hapa