Msaada wa haraka zilipo ofisi za TAHEA ( Tanzania home economic association)

da irritant boy

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
402
444
Jamani samahani wanajukwaa, naomba kusaidiwa kama kuna mtu anafahamu sehemu zilipo ofisi za TAHEA( tanzania home economic association) zilizopo Dar es salaam, au kama kunisaidia contacts za mtu yeyote wa TAHEA Dar es salaam, au kama kuna muhusika wa TAHEA itakuwa vyema saana.

Ni imani yangu ntasaidiwa na natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom