Mwenye address au namba ya simu ya Hawa Chando au major general mstaafu Leila Chando.

korojani

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
231
237
Wakuu ninashida ya contact za Hawa Chando au Leila Chando, niliachana nao Kampala mwaka 1979. Plz mwenye contact za watu hawa nahitaji sana wakuu.
Naomba kuwasilisha.
 
Hiyo ID yako ...mmh, ina ukakasi, hata kama mtu anazo contact za hao watu anaweza akawa mzito kutoa...ila nakutakia kila la kheri anayejua akupatie.
 
Kwa cheo alichokua nacho huyo mstaaf n rahisi kumpata. We nenda makao makuu ya jwtz unaweza kupata
 
bwii said:
Kwa cheo alichokua nacho huyo mstaaf n rahisi kumpata. We nenda makao makuu ya jwtz unaweza kupata
Lakini mwambie aende amejiandaa, wale jamaa huwa hawajaribiwi!
 
Back
Top Bottom