Hivi yale mapepo?

Shadrack K. Lwila

JF-Expert Member
Jul 17, 2016
4,925
14,285
Habar wanajamvi

nauliza hivi yale mapepo yale gwajima alisema atakuwa anamrushia mkuu wa mkoa wa dar es salaam yaruka kweli au bruetooth aijawa paired.

Kitendo cha kwenda kichwa kichwa kwenye ofisi za watu tena na majambazi sijui mapolisi utazani mwizi kasahau hesabu ya pesa alizoiba hayo si ni mapepo.

Kitendo cha kuamua kumzalilisha gwajima bila reason yoyote hayo si ni mapepo.

Shilawadu shilawadu nawaona nawaona



 

Similar Discussions

Back
Top Bottom