elite wa Geita
Senior Member
- Jul 25, 2016
- 157
- 187
Tangu kuanza kwa Uongozi wa awamu ya tano pamekuwa na matamko Mengi na Maneno mengi ya kufurahisha wakati mwingine. Kali zaid ni Maneno Mapya yaliyojitokeza week hii.
1. Kazi Tu.
2.Urafiki wa mabunduki kwa kweli sitaki
3.Ukiona swala anaringa sana mbugani ujue simba ni boyfriend wake.
4.Ukiona kifaranga kipo juu ya mtungi ujue chini yupo mamaake.
Haha..haiya hebu nawewe weka uliyoyasikia sasa