Wapo wanaosikitika, wapo waliokwazika, wapo ambao wanaolalamika kwamba haki haikutendeka kwa Makonda hakuchukuliwa hatua sitahiki na wanazochukuliwa viongozi wengine.
Binafsi nimefunga mjadala huu kwa kuwapa ushindi Gwajima, Mbowe, Wema na Manji. Nawapa ushindi hawa kwa sababu hawa walitangaza mapambano hadharani na Makonda na WAMESHINDA!
WAMESHINDA kwa sababu kama Makonda ametengeneza video feki ya kumchafua Mchungaji Gwajima basi anaweza kutengeneza VITA FEKI YA MADAWA YA KULEVYA na kwa vyovyote anaweza kutengeneza na kutumia VYETI FEKI.
Nawapongeza wapambanaji hawa maana sasa ni dhahiri REFA amelazimika kuingilia kati kumuokoa kijana wake. Tuufunge mjadala kama alivyoshauri REFA ili twende kujadili maendeleo ya viwanda!?