Tanzania hatuwezi kununua kifaa cha Impeachment?

mzee wa kijiwe

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
947
685
Hiki kifaa kinauzwa wapi?
Kwani Tanzania hatuwezi kununua kimoja?
Nasikia kinasaidia sana wananchi wenye matatizo sugu.

Anayejua jinsi ya kukitumia please tusaidiane
 
Kifaa bei mbaya hicho.Kila mtu akikipigia mahesabu anakiogopa.

Ila wajasiriamali mjengoni wakichangishana wanaweza kukipata.
 
Kinakuja April hapo Dodoma. Bashite atafanyia kazi maana mkulu atakiepuka kijanja
 
Back
Top Bottom