Kama ilivyo ada; ni ngumu sana kupata vyote katika utaftaji Wa maisha bora ;kwakuwa katika yote ya yote lengo kuu huwa ni kufanikiwa!
Swali;
Je: maisha yanahitaji nini zaidi? Je, ni chaneli ?(mchongo/kujuana) au elimu (certificate)?
Nini siri ya kutoboa kati ya hizo?
Swali;
Je: maisha yanahitaji nini zaidi? Je, ni chaneli ?(mchongo/kujuana) au elimu (certificate)?
Nini siri ya kutoboa kati ya hizo?