moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
Bilashaka mko poa , nachelea kuamini kama kuna wataalum kweli wa sheria nchi hii.
Nasemahivi kwa sababu hakuna hatua zozote zinazochukuliwa pale inapobainika sheria imevunjwa.
Mfano ni matukio yanayoendelea kuhusu taifa letu, nitataja machache.
Tukio la Makonda kutaja watu anaowatuhumu kujihusisha na madawa ya kulevya kinyume cha taratibu.
Hili lilidhalilisha wengi na kufehesha watu, tulisikia matamko mengi ya kumfungulia mashtaka Makonda kwa udhalilishaji wasio na hatia lkn mwisho wa siku watu wakaishia kulalamika mitandaoni badala yakuchukua hatua.
Likafuata suala la kufoji vyeti lililoibuliwa na Gwajima lakn mpka Leo hakuna kesi yoyote iliyofunguliwa.
Wakati hilo likiendelea kuchukua nafasi mtandao likatokea na jingine na rushwa ya gari aliyopewa Makonda ili kutetea mimiliki kwa kampuni ya malori ya kusafirishia mizigo ya NAS.
Kabla halijapoa limetokea kubwa zaidi la uvamizi wa ofisi ya clouds media lililofanywa na Makonda akiambatana na watu wenye silaha.
Badala ya wanasheria kuchukua hatua kila MTU amebaki analia lia mtandaoni
Leo baba wa bashite ameonesha amebariki yote aliyotenda bila kujali maneno wala sheria ya nchi.
Napata hofu nauwezo wa wanasheria wetu wanaojiita et wasomi!
Hakuna cha rais wa wanasheria wala mwana sheria mkuu wa serikali wala takukuru wote minaona ni zero brain yaani wanasheria mnamshindwa division ZERO kweli?
Bora tufute sheria na wanasheria ili nchi iaende kama atakavyo Bashite Na baba yake.