Katika nchi yetu hii tulishajijengea utamaduni wa kukosa na kukosolewa, hii ni kitokana na ukweli kuwa hakuna binadamu ambaye yupo sahihi kwa asilimia 100, inasikitisha sana kuona kuwa kuna juhudi za maksudi za kukingiana kifua kwa baadhi ya viongozi na kunawengine huku wengine wakiandamwa, kudhalilishwa na hata kuwekwa kizuizini. Sina uhakika kama hii ndiyo ile Tanzania ya Mwalimu Nyerere. Hii ni kitu kingine. Inasikitisha sana.