Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,471
- 12,380
Watanzania huwa hatuelewi tunatakana nini,tunapaswa kufanya nini kwa wakati gani....sometimes naweza sema sisi watanzia ni wafata mkumbo.
Najiuliza tu nguvu kubwa iliyotumika kumkomalia Makonda na ishu nzima ya vyeti na kuvamia clouds ingetumika kupinga makato ya 15% kwa wafanyakazi na wanufaika wote wa bodi ingekua jambo la maana sana na tungefanikiwa,but ishu imepita kimya kimya sikuona hata tamko moja but hili la clouds kila mtu anajifanya ameguuuuswaaaaa kisa limefanywa na makonda.....WTF!!