Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,970
Mheshimiwa Mwakyembe,.. Ushawahi kujiuliza kwanini umehamishwa wizara A kwenda wizara B? Jamaa kakuhesabia umefeli kwenye Wizara A,. Kwa kosa la vyeti vya kuzaliwa kuwa sifa mojawapo ya kufunga ndoa. Mimi naamini, ulifanya vile ili uendane na beat la jamaa yule ukiamini litamfurahisha. Hii tabia yake jamaa yule imewafanya watendaji wengi wanakosa kujiamini ktk utendaji wao, na kujikuta wakiharibu zaidi. Sasa Mheshimiwa, huko uendako unapelekwa kwenye kitanzi.. Ujiandae kifikra.