wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,932
- 4,542
Bado wanaranda randa kwenye makampuni na kuwarubuni wafanyakazi wapya wajiunge na mfuko wao ilihali wakijua kuwa wameacha kutoa fao la kujitoa hata Kwa wafanyakazi wenye ajira fupi.
Nawaasa wote mtakaosoma hapa muwaambie na wenzenu ambao hawatasoma hapa ni kiasi gani PPF ilivyo hatari.
Mimi hadi leo sh 10,000,000 zangu wamenidhulumu bila huruma, huu ni ukatili wa hali ya juu kabisa.
Mifuko ya jamii ipo mingi Sana, iogopeni PPF jamani.
Soma hapa umwambie na mwenzako.