Naomba kujuzwa kuhusu Adam na Eva

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,965
27,203
Baada ya Adam kujua kuwa Eva ni mkewe, je !!alilipa mahari? Kama alilipa mahari alilipa kwa nani? Na kama hakulipa je..hawa wanaolipa mahari waliiga kwa nani??
 
Kwa wahindi na watu wengine wanaolipa mahali ni wanawake labda tuongezee na hilo swali lingine
 
Back
Top Bottom