Polisi Dodoma wamekamata viroba vyenye thamani ya Tsh milioni 300

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
March 24, 2017 Jeshi la Polisi Dodoma likiongozwa na kamishna wa Polisi mkoa Lazaro Mambosasa limewakamata wafanyabishara wawili wakiwa na shehena za vinywaji aina ya viroba vyenye thamani ya zaidi ya Milioni 300 za kitanzania na tayari nimekuwekea hapa chini video..

ooooo.jpg
 
Wawekwe chini ya uangalizi maalum, wasije kujitoa uhai.
Wahujumu nchi hawataisha na ndio hawa hawa wanahaha mitandaoni kuichafua Serikali.
 
March 24, 2017 Jeshi la Polisi Dodoma likiongozwa na kamishna wa Polisi mkoa Lazaro Mambosasa limewakamata wafanyabishara wawili wakiwa na shehena za vinywaji aina ya viroba vyenye thamani ya zaidi ya Milioni 300 za kitanzania na tayari nimekuwekea hapa chini video..

View attachment 486343
vipi vimelipiwa kodi!!??
 
Back
Top Bottom