Mrisho Mpoto: Viongozi acheni kutengeneza kiki nyimbo za wasanii zipate nafasi nazo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,059
Msanii Mrisho mpoto amedai viongozi kwa sasa wanatengeneza matukio ambayo yanapata headlines kiasi kwamba nyimbo za wasanii mpya zinazotoka hazipati nafasi, ni matukio baada ya matukio..
 
Aendelee kushikwa shikwa mashavu mana mziki ushamshinda, hata unyayo nao umegoma kutembea peku
 
hili jamaa ni bogus sana tokea aambiwe na faru hadija kuwa anazimikia ngonjera zake basi kawa na shobo kama mke wa mjumbe!
 
Toka afahamiane na Bashite huyu jamaa akili yake imekuwa hivyo sana na kibashitebashite.
 
Njaa inapotoka tumboni na kuhamia kichwani ndo Matokeo ya Mrisho Mpoto ajitambui huyu jamaa kadri mda unavyozidi kwenda anazidi kujiambidha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom