KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,517
- 2,808
Kwanza kabisa habari zenu wananchi.
Kama Mtanzania niishie Dar es Salaam kuna mambo hupaswi yakupite. Wengi walikuwa wakitegemea mheshimiwa Rais kumtupilia mbali Makonda/Bashite ila haijawa kama mategemezi ya wengi kuwa hivyo.
Hii inatokana na sababu mbalimbali kama zifuatazo
i) Vita ya Dawa za Kulevya. Wengi tunajua vita hii ilivyo ngumu na hii ndo iliomfanya mpaka siri zake zikafichuka na raisi mwenyewe akaisapport hiyo vita na kutaka iendelee. Sasa leo hii akimtumbua kwa visa vilivyoibuka kutokana na madawa ya kulevya itakuwa ni usaliti na kutokuwa na maana.
ii) Kuna watu wanaopinga kila kitu afanyacho Rais, hapa nasemea Instagram pamoja sana sana pamoja na wanasiasa wanaopinga kila kitu kinachofanywa. Imagine mtu anapinga hadi kuletwa kwa ndege au flyover zinajengwa mtu anapinga (watanzania hatuko serious)
Kuna hadi wengine wanataka ufisadi urudi ili maisha yapungue ugumu. Wengine wakawa wanasema ni mpango wa ikulu kumtuma afanye hivyo ili wamtoe wafunike skendo na udhaifu wa serikali.
Mtu kama huyu utafata atakachokushauri na ina maana ukifata umempa kiburi aonekane yeye ndo yeye na atakaloamua nchi nzima inafata, liwe baya au zuri. Na mwenendo kama huo ungefanya serikali iwe dhaifu kupita kiasi
So ndo maaana Magufuli akaita hiyo call