Raha tower inafuka moshi

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
86,989
120,253
Nimepita muda si mrefu nimeona jengo la raha tower linafuka moshi huku watu woote wakiwa wametoka
Nje....cha ajabu hakuna gari la zina moto

Ova

IMAG0333.jpg
IMAG0337.jpg
IMAG0334.jpg
 
Hahahah no opposite na mahakama ya Judith

Ova
Hapo hapo Kondoa? tatizo wee unahisi wote tunajua hiyo raha tawa iko wapi? mie niko Kolomije hata sijui iko mkoa upi? ndio maaana nimehisi labda ni Kondoa, hahahahahahaah
 
Naona Fire wapo

Ova
 

Attachments

  • IMAG0341.jpg
    IMAG0341.jpg
    266.1 KB · Views: 25
Back
Top Bottom