njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,371
- 979
Nawaza tu, kila mhe. akipata taarifa anawahi eneo la tukio mara moja na kukuta uozo.
Najiuliza tu, hii Dsm ndio wapiga dili wengi vipi akihamia Dom hizi hatua zitaendeleaje? Au ndio wapiga dili watakuwa wamejiachiiiia.
I wish mhe. .asihamie Dom abaki hapo hapo Dsm lango kuu.