hamisi nondo
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 192
- 172
Wana jf,habarini kumekuwa na madaliko ya bei za vifurushi hivi jaribuni,, kuanzia vya kupiga mpaka vya kuperuzi mtandaon huku baadh ya mitandao kuonekana ndio wametisha kwa kupunguza vifurushi,,mimi binafsi natumia voda kwang vifurush vyao naona ni ghali japo hawana speed ya konokono kwenye huduma zao,,,je ni mtandao upi ambao ni wa bei nafuu kuliko mingine kwa sasa na hauna longolongo