Natamani sana zali la Nape lingenitokea mimi

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,813
32,711
Mzuka sana wanaJamvi!

Mimi sinaga bahati kabisa. Kila usiku nalala malango wazi tena fofofo chakustaajabisha sivamiwi. Sometimes natembea usiku maksudi tu magomeni, temeke, Tandika, bonde la msimbaz, Jangwani, Keko, Yombo na jangwani. Yani cha kuhuzunisha napishana nao tu hatawanigus wananikodolea macho. Moyoni nasema si walianzishe tu pleeasee lianzisheni.

Tatizo nilishakula kiapo Shaulin temple nilipokuwa natunikiwa na kukabidhiwa mkanda mweus "black belt" nisiwahi kuwa mgomvi wala kupigana had nichokozwe tuu ama kuvamiwa kwasabab ya mbinu zangu kali za kupiga zilizonichukua a whole painstakingly decade to master and perfect. Ambapo nisipojizuia naweza kutembeza mbano hata Kwa wasiohusika.

Sasa ningekuwa Nape pale yule Jamii ya Bashite (mwanausalama) ananisukumiza. Kwanza ningemuomba cheti baada ya hapo atashikwa Na jazba na kutoa bastola. Yani kitendo cha kutoa bastola nampiga "vertical round kick" halaf Nampa a killer blow ya tumbo lazima alale maamae. Bastola naipiga take pemben.

Maulid Kitenge kwa kiherehere atakuja yeye nita muwasha konzi tu la utosin nakumuambia tulia wewee.

Wanausalama wengine watakuja mbio Yani hapo naruka juu Kima cha twiga nikirudi chini na "helicopter kick wote chini". Kwa maumivu watawasiliana na wenzao we need beck up. Nao wakija namchukua yule wakwanza nilitemuomba cheti mwenye jinsi ilitopauka ya Lee namgeuza fimbo nakuwachapachapa wote had wapoteze faham.

Ntakuwa nimeitendea haki mkanda wangu mweusi.
 
Hivi kwa hakili yako hiyo pisto aliyokuwa nayo angekuacha wewe na istoshe hata wenzake walikuwa nazo wangekumaliza dakika bashite
 
Kwa ushauri wangu kama unataka misala nenda sehemu ambayi mkulu anapita halafu jaribu kumfuata utawapata hao jamaa halafu Fanya maujuzi yako
 
Kaka wapi, na mimi nije. Maana pale mimi ningeluka ghafla ningekuwa shingoni kwake, hapo ningemgusa bega la kulia, aiseeh angejikuta yuko chini kapasua msamba. Mimi nilitoloka dojo, lakini sio wa mchezo mchezo!!
 
Mzuka sana wanaJamvi!

Mimi sinaga bahati kabisa. Kila usiku nalala malango wazi tena fofofo chakustaajabisha sivamiwi. Sometimes natembea usiku maksudi tu magomeni, temeke, Tandika, bonde la msimbaz, Jangwani, Keko, Yombo na jangwani. Yani cha kuhuzunisha napishana nao tu hatawanigus wananikodolea macho. Moyoni nasema si walianzishe tu pleeasee lianzisheni.

Tatizo nilishakula kiapo Shaulin temple nilipokuwa natunikiwa na kukabidhiwa mkanda mweus "black belt" nisiwahi kuwa mgomvi wala kupigana had nichokozwe tuu ama kuvamiwa kwasabab ya mbinu zangu kali za kupiga zilizonichukua a whole painstakingly decade to master and perfect. Ambapo nisipojizuia naweza kutembeza mbano hata Kwa wasiohusika.

Sasa ningekuwa Nape pale yule Jamii ya Bashite (mwanausalama) ananisukumiza. Kwanza ningemuomba cheti baada ya hapo atashikwa Na jazba na kutoa bastola. Yani kitendo cha kutoa bastola nampiga "vertical round kick" halaf Nampa a killer blow ya tumbo lazima alale maamae. Bastola naipiga take pemben.

Maulid Kitenge kwa kiherehere atakuja yeye nita muwasha konzi tu la utosin nakumuambia tulia wewee.

Wanausalama wengine watakuja mbio Yani hapo naruka juu Kima cha twiga nikirudi chini na "helicopter kick wote chini". Kwa maumivu watawasiliana na wenzao we need beck up. Nao wakija namchukua yule wakwanza nilitemuomba cheti mwenye jinsi ilitopauka ya Lee namgeuza fimbo nakuwachapachapa wote had wapoteze faham.

Ntakuwa nimeitendea haki mkanda wangu mweusi.
Theory tu hizo,ungethubutu pale wangekunyuka mpaka uchakae.Nao wamejifunza marshall art.
 
Back
Top Bottom