kinondoni

kinondoni

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
96,594
Reaction score
138,685
kinondoni kila katika kila vijana 10 wakipita 6 kati yaooo matejaaaass....duh hatari...ina maana katoka kipindi cha miaka miwili watu wengi watakua mateja...upatikanaji wa unga syo tabu kinondoni....wauzaji ni wengi sana...manyanya pale unga unauzwa kma pipi...hongera sana serikalI kwa kutojali hali ya pale ni kama mmeruhusu unga kuuzwa...ngojeni watoto zenu waingie katika madawa
 
We unafikiri ela za uchaguzi tutatoa wapi..?! Ebo..!
 
mateja wapo kila sehemu ila hapo kinondoni kuna vichaa wengi sana haipiti dakika 2 lazima upishane na kichaa ikifuatiwa na magomeni.
 
mateja wapo kila sehemu ila hapo kinondoni kuna vichaa wengi sana haipiti dakika 2 lazima upishane na kichaa ikifuatiwa na magomeni.

Uchaguzi ukiisha tutafuatilia hilo swala..
 
Katika vijana wa kiume kumi Kinondoni sita mateja. wawili wezi mmoja mngese na aliyebaki mmoja tapeli. Kwa upande wa mabinti. saba taxi bubu yaani changu. mmoja teja. mmoja mlokole na mmoja wa mwisho safi.Wanawake naogopa kusema maana engine mnakaa Kinondoni na mna wake. Ila ukitipa ndoano hairudi bure.
 
Kinondoni ipi unaizungumzia wewe?

Wee ukisikia Kinondoni unajua pazungumziwa kinondoni ipi ya mtwara ama ya Dar!.Mkuu kinondoni imechafuka kwa maasi tena kuanzia pale wilaya ya kinondoni,njoo magomeni teremka bonde la kinondon,kuendelea kote huko hapafahi
 
Siku moja gari langu lilinasa kwenye tope Moscow usiku wa manane. mbona ilikua shughuli.
 
Pale kinondoni kuna siku nilikuwa natembea mdogo mdogo uku naongea na simu mchana mateja wakaniona alafu wakaniambia ukimaliza kuongea utupe simu yetu basi me nilipomaliza kuongea niliibamiza ile simu ukutani wale mateja walibaki wanasikitika!
 
Mara nyingi huwa nawaza. Kama Mungu angeichoma moyo Dar bila shaka angeanza na Kinondoni. Duu kuna maasi ya kutisha sana. Unga na ngono ya kila aina viko Kinondoni.
 
Mbunge wetu ni muuza unga kwa nini wapiga kura wake tusiwe wabwia unga.Kidumu chama cha mapinduzi
 
Katika vijana wa kiume kumi Kinondoni sita mateja. wawili wezi mmoja mngese na aliyebaki mmoja tapeli. Kwa upande wa mabinti. saba taxi bubu yaani changu. mmoja teja. mmoja mlokole na mmoja wa mwisho safi.Wanawake naogopa kusema maana engine mnakaa Kinondoni na mna wake. Ila ukitipa ndoano hairudi bure.
una uhakika?na hyo ndoano yako ya mabua! Hahah mtuwache siye...!lol
 
Nimeishi Kinondoni naijua vizuri sana swala la kuondoa mateja limeshindikana kwa serikali yetu tokea kipindi kile Mh Makamba akiwa mkuu wa mkoa anafukuzana nao pamoja na machangudoa usiku lkn bado hali ni tete. Tutafute mchawi gani wa kutuondolea hii kero maana humo humo na wizi unashamili.
 
Serikali inashindwa kudhibiti vimtaa vi3 navyo ni wibu,senkenke,togo mwisho,ufipa mwisho na brazil.Nimepoteza rafiki wengi kwenye hii ishu ya unga mara kwanza walikuwa mapusher
 
Mitaa hiyo ukikaa na unafanya kazi wanakuona faaaaala,nilikuepo huko ujana wangu,huku nauza mzigo huku nafanya kibarua,jamaa walikua hawaelewi.siku ya kula bata walikua wananatafuta pa kutokea,
wakiuliza aaah mi nafanya kazi bana kumbe.
 
Back
Top Bottom