Wakazi wa Moshi,wapi kiwanja kikali?

jembelamkono

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
2,733
2,011
Habari wadau hasa wa mji wa Moshi?
Naomba kufahamishwa kiwanja kipya kizuri hasa kwa kufanya starehe ya vinywaji na mziki kwa maeneo ya Moshi mjini.
Naombeni taarifa zenu tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom