fugees
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 2,868
- 883
Wanabodi nilikua napitia page ya Nape insta cha kushangaza nikaona maneno ya hapa kazi tuu yameondolewa ikiwamo yale yanayomtambulisha kama waziri wa habari. Hii ina maana gani wakuu. Nape anamuunga mkono kweli Magufuli kama alivyosema jana akiwa anawaaga wanahabari?
Tuwazue kidogo..
Tuwazue kidogo..