Ma-professor wanaoikosoa serikali kwanini hawafukuzwi?

Mudawote

JF-Expert Member
Jul 10, 2013
10,662
13,955
Sheria za utumishi wa UMMA, zinakataza mtumishi wa umma kuikashifu serikali. Na kwa kufanya hivyo anatakiwa afukuzwe kazi.

Je kwanini hawa:
1.Prof Kitila Mkumbo wa UDSM
2.Prof Ngowi wa Mzumbe
3....
4....
na wengine mbona hawajafukuzwa?
 
Daudi AB ameshafukuzwa? Wale waliomtetea kiranja mkuu kwenye tuhuma alizozitoa Ben Saa8 wanakula shavu. Nadhani kiranja mkuu anapenda sana aitwe Rabi. Time will tell
 
Sheria za utumishi wa UMMA, zinakataza mtumishi wa umma kuikashifu serikali. Na kwa kufanya hivyo anatakiwa afukuzwe kazi.

Je kwanini hawa:
1.Prof Kitila Mkumbo wa UDSM
2.Prof Ngowi wa Mzumbe
3....
4....
na wengine mbona hawajafukuzwa?
Kumbe kuikosoa serikali ni kosa siku hizi? Kila rangi itaonekana
 
Umeanza na neno kukosoa halafu ukaishia na kukashifu. Haiwezekani kwamba hutambui tofauti ya hayo maneno mawili!
 
Sheria za utumishi wa UMMA, zinakataza mtumishi wa umma kuikashifu serikali. Na kwa kufanya hivyo anatakiwa afukuzwe kazi.

Je kwanini hawa:
1.Prof Kitila Mkumbo wa UDSM
2.Prof Ngowi wa Mzumbe
3....
4....
na wengine mbona hawajafukuzwa?
Hivi aliyekuambia dawa ya kukosolewa ni ku-get rid ya wale wanaokukosoa ni nani.Afterall kukosolewa kwa mtu positive ni healthy kwa kuwa unapata mawazo mbadala.Kumbuka kwamba there are several alternatives of doing the same thing.
Dawa ya wanaokukosoa ni kutathmini mwawazo yao, na kama yanafaa unaya-accomodate. If not unaachana nayo.
 
MTU hujawahi hata kuajiriwa unazungumza zungumza tu unafahamu sheria ya kazi inazungumza mini kuhusu MTU kuachishwa kazi?
 
Sheria za utumishi wa UMMA, zinakataza mtumishi wa umma kuikashifu serikali. Na kwa kufanya hivyo anatakiwa afukuzwe kazi.

Je kwanini hawa:
1.Prof Kitila Mkumbo wa UDSM
2.Prof Ngowi wa Mzumbe
3....
4....
na wengine mbona hawajafukuzwa?
Bungeni na vyuoni ni free thought zone no body cares ila zikifikia teuzi za raisi critics ambao sio constructive critisizers rais lazima awaache waendelee kushika chaki au kupiga yowe bungeni hawezi waweka kwenye serikali
 
Back
Top Bottom