Rais wetu anahitaji maombi sana kuna watu wanamtupia uchawi na kumloga. Tumwombeeni sana ili wanaomtupia mapepo washindwe
Tumia hata hiyo staili cha msingi yasipate nafasi kwa raisi wetu. Kila mtu atumie staili yake kadri ya imani yake mradi tu mapepo yakwame kwenye agenda zaoNakukumbusha kuwa mapepo hayaombewag Bali yanakemewa nakufukuzwa kama mbwa aliyeiba mboga
Njaa mbaya sana. Leo unatutangazia kuwa haya tunayoyaona ni kwa kuwa rais amerogwa? Kwa hiyo una maana hayafanani kufanywa na mtu ambaye hajarogwa, si ndio?Rais wetu anahitaji maombi sana kuna watu wanamtupia uchawi na kumloga. Tumwombeeni sana ili wanaomtupia mapepo washindwe
Uncle asharudi Rongido au bado yupoyupo kwanzaRais wako enyew ni pepo hivyo akemewa nakufukuzwa kama mbwa aliyeiba mboga
Wewe matope brain kwani wagonjwa na wafungwa au yatima hawawezi kuwa wanafiki??Siwezi kupoteza muda wangu kumwombea mtu mnafiki ambaye hana hofu ya Mungu ntaenda kuwaombea wagonjwa, wafungwa, yatima na wengine lakini siyo huyo mnafiki wenu!
Leo hii ukiumwa malaria,hauombewi unaenda hospitali kwanza unapata tiba ndio maombi yanafuata!Zama hizi sio zama hizo,akapate tiba kwanza ya disorder aliyonayo,hasa hii ya kuwa provoked hata na comment yangu mpaka anatoka povu nusu kupasuka!Mgerasi kwenye biblia alikuwa mwehu hakupelekwa mirembe aliponywa na maombi ya Yesu