Chachata JF-Expert Member Apr 29, 2011 201 134 Mar 26, 2017 #1 Naomba kujuzwa namna ya kuweka security kwenye cm ili iwe na users mbili yaani public and private user
Naomba kujuzwa namna ya kuweka security kwenye cm ili iwe na users mbili yaani public and private user
Hazchem plate JF-Expert Member Feb 25, 2011 11,047 15,448 Mar 26, 2017 #2 Kwan tecno inayo io kitu???? Me natumia lg g3 inayo io kitu
Chachata JF-Expert Member Apr 29, 2011 201 134 Mar 26, 2017 Thread starter #3 Duh so haina hiyo kitu kuna apps naweza kudownload