Je, ni haki kwa bendera ya taifa kutumika ku-brand shughuli binafsi?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
38,183
44,276
Kwa wenye uelewa naomba wanielimishe juu ya hili, maana nina mpango kuweka label yenye bendera ya taifa kwenye bidhaa zangu..

Screenshot_2017-03-26-16-36-31.png
 
Mkuu jinyonge tu naona unaumia sana na Gwajima.


Ulianza Kanisa lake lifunguwe

Leo umekuja na Bendera

Sasa ni vema umuendee kabisa pale Ufufuoni umchane live.
 
Kwa kuwa imewekwa kanisani au? Mbona zipo mpka kwenye baa/migahawa/ hoteli
 
Hiyo ni Hali ya uzalendo bendera ipo kanisani kwa sababu kanisa lipo Tanzania hata ukienda kwenye makanisa ya nchi za wenzetu kuna bendera afu hata geto kwangu kuna bendera ya taifa kwasababu Nalipenda taifa langu

Tatizo ni hawa wasukuma ndo wanatuchanganya tu

Conclusion siyo makosa
 
Back
Top Bottom