UKAWA mnazungukwa

realoctopus

JF-Expert Member
May 11, 2014
3,232
1,982
Kama kawaida yangu ilivo,ni kutoa ushauri tuu.

UKAWA mnazungukwa,tena mnazungukwa vibaya sana.

Ukomavu wa kisiasa wa ccm,wanautumia vilivo kulazimisha kutangaza JITIADA za awamu hii kupitia umaarufu wa UKAWA.

Chunguzeni vizuri,mtaona kwa sasa kuna wimbi la viongozi wa ccm,wanaojifanya kutoa maelezo katika mazingira tata yaliopo lakin katika maslahi ya kuiinua ccm.

Mifano:
Tangu Nape afanye lile tukio pale maeneo ya protea,amekuwa bize na kujiinua aonekane,ona uwanjani.

Leo tuliambiwa Ndugai ataongea na waandishi wa habari pale uwanja wa ndege,badala yake kaendA wapi?

Hizi mbinu msipo kaa vizuri,akili zetu sisi mashabiki na wapenzi wa ukawa,zinaelekezwa kwa lazima katika kuona na kuelewa propaganda zao.

TILIENI MAANANI
 
Ngoja niwe wa kwanza ku reply.. inaonekana hakuna mchangiaji hata mmoja ame comment na post ina masaa 7
 
Unaambiwa mjinga husimpe maana ya kilichofichwa mpaka yamkute.
Asante mkuu,ndio maana wakaambiwa waache udaku.
Wamezoea stori za kuzua tuu mpaka wanatolewa airport had bandarin.Na sasa hivi wamepekekwa tena lumumba.
 
Back
Top Bottom