Amani kwenu wanajamvi,
Mwenzenu najiuliza hili swali jibu sipati. Waajiriwa hasa wa serikali ndiyo walipa kodi waaminifu zaidi hapa Tanzania, lakini kwa nini hawana ile namba inayotolewa na TRA...
Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu...
Soli/sole ni sehemu ya chini ya kitu, soli ya kiatu ni sehemu ya chini ya kiatu.
Twende kwenye mada,
Ni kwanini baadhi ya watu viatu vyao vinaisha upande mmoja tu wa soli na wengine huwezi...
JAYANTILAL Keshavji Chandelier (Sir Andy Chande), amefariki dunia wiki iliyopita. Kwa vyovyote vile, na kwa sababu yoyote, huu ni msiba mkubwa kitaifa.
Huyu ni mtu ambaye alikubali kulitumikia...
Wakuu nimesafiri mikoa kadhaa ila sehemu ya kula kwa sehemu nyingi ni shida tu, na sehemu nyingine madereva wanafanya makusudi kwasababu kuna kaposho wanapewa, mfano kwa wale wasafiri kutoka...
Salaam kwenu ndugu,
Salaam kwenu moderators,
Salaam kwa Jamii media group,
Salaam.... Salaam!
Binadamu tumeumbwa kutawala.
Maana yake Usipo jitawala lazima utatawaliwa.
Hii haina maana...
Habari za maandalizi ya pasaka wapendwa.
Turudi kwenye mada kuna uzi nimesoma hapa unasema yule muafrika kwenye mkanda wa yesu alitokea wapi.? Sasa nihitaji kujua Uafrika nini? Kuwa mweusi au...
Wilaya ya kalambo kuna basi linaitwa kasitu express linafanya masafa yake kati ya Mtutumbe, Matai na Sumbawanga manispaa linaanza safari zake huko Mtutumbe saa nane ya asubuhi linafika matai saa...
Watu watatu wameuwa katika Daraja la Mkapa inadaiwa watu hao waliokuwa kwenye pikipiki huku wamefunika nyuso zao kisha walikataa amri ya Jeshi la Polisi iliyowataka wasimame...
Kuna ajali imelipotiwa saa 2240 ya terehe 13/04/17 imetokea kijiji cha mbwewe walikuwana gari binafsi aina ya RAV 4 namba ya usajili T455 CLA ikihusisha namba T609 ATW scania Askari walikua...
Jaman Watanzania TRAFIC WA PALE SANT PETER CHURCH wanataka Rushwa kwa lazima na chini ya elfu 20 wanakataa,Wanalazimisha makosa hasa Trafic Salom.Ni kero na ni mradi kwa hawa watu tunaomba...
Wasalaam,
Miezi ya 4 mpaka wa 10 ndio miezi ya watu kufunga ndoa na pilika pilika za harusi.
Na ndio miezi ambayo huwa na ugomvi na kuchukiana kwa sababu ya wingi wa Kadi za harusi mpaka...
Ni android application, yenye kukusanya watunzi lukuki. Wenye uandishi wa aina tofauti kwenye nyanja ya riwaya, hadithi fupi na machembezo. Si nyiingine bali ni Hadithi App, inayokuwezesha kusoma...
Leo nilipigiwa simu na namba+255744262524 ambayo wanadai watanipa zawadi ya sh 120,000 na simu aina ya techno c8 na kwamba ningechukua zawadi yangu ktk duka lenu mahali nilipo.
Kisha wakaniuliza...
Heri na iwe kwenu nyote mlioamka muwazima wa afya njema.
Mwenzenu nimefufua kaofisi nilikokafunga mwaka jana,ni siku 3 tangu nianze kazi lakini usiku wa kuamkia leo wadokozi...
Wadau nahisi mpo salama, anayefahamu umri was kusitafu kisheria hapa nchini asahihishe nikienda nje kidogo, MTU anaweza sitafu kwa hiari akiwa na miaka 55 na kwa lazima 60. Kwa shule nyingi za...
Zimepita ndege angani mjini kwetu aina ni kama za kivita je ni mazoezi au kwakweli tulio ziona tumeshtushwa mno.kama ni mazoezi muwe mnatutangazia ili tusianguke kwa presha wenzenu
Jamani naomba msaada nifanyeje kuna askari police wa kituo cha bugarama kahama
Ameniambia ataniteka Siku ya jmos tarehe 29 kwa sababu aliniomba rushwa ya 50000 sikumpa naomba msaada sifanyeje...
Angalia wastaafu wengi wanapo ondoka kwenye ajira, wengi wanalipwa mafao ya kutosha kuweza angalau kusogeza siku za kuishi.
Tatizo la hawa wastaafu wanasahau kuwa siku walipoajiriwa waliapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.