Nahitaji Kiwanja maeneo ya Kivule

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
1,410
3,548
Husika na kichwa cha uzi hapo juu, nahitaji kiwanja chenye ukubwa wa 20 kwa 20 maeneo ya Kivule. Mwenye nacho anitaarifu.

Madalali tulieni uzi hauwausu.
 
sasa kama hutaki madalali,umeweka huu uzi humu kwa lengo gani?
au lengo ni watu Wajue na wewe umepata pesa ya kununua Kiwanja?
 
Back
Top Bottom