Matukio yaliyotikisa mwezi March+April

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
1. DAUDI ALBERT BASHITE kuvamia na kubaka free flow of mass media

2. Kutenguliwa uwaziri kwa mheshimiwa Nape Mp wa jimbo la mtama pamoja na kutishiwa na silaha na mtu ambaye serikali imeshindwa kutambua na kumpeleka kwenye vyombo vinavyosimamia utekelezaji wa sheria

3.Kutekwa kwa hit maker Roma mkatoliki na wenzake

4. Kutolewa kibali cha kushitakiwa kwa ndugu DAUDI ALBERT BASHITE kutoka koromije ndugu DAUDI ALBERT BASHITE anakabiliwa na tuhuma zisizopungua 4 nne hivi ambayo miongoni ni pamoja na kuvamia kisha kuingilia au kuharibu ratiba ya vipindi vilivyoandaliwa.

5. Mauaji ya askari 8 mkoani pwani
 
Matokeo ya Form 4 Ya Dar Yakazaa Madawa ya kulevya.

Madawa ya kulevya yakazaa Vyeti feki na Jina la DAB.

Vyeti feki vikazaa Vikazaa kupiga Simu Clouds na kuisifia Shilawadu.

Kuisifia Shilawadu kukazaa Kuvamiwa kwa Clouds.

Kuvamiwa kwa Clouds kukazaa Kutumbuliwa kwa Nape Nnaue.

Kutumbuliwa kwa Nape kukazaa Wimbo wa Wapo by Ney wa mitego.

Wimbo wa Wapo ukazaa Mtego kwa Wasanii na Wao wakategeka wakiamini kweli Rais anapenda Nyimbo zao.

Mtego kwa Wasanii kukazaa Makutano baina ya 'Daya mond' na Bashite.

Makutano ya 'Daya mond' na Bashite kukazaa Kutekwa kwa Roma.

Kutekwa kwa Roma kukazaa Wimbo wa bora nikae kimya.
 
Mkuu big up tokio moja muhimu la true boy nilisahau akili mukichwa
 
Back
Top Bottom