Kaimu Katibu Mkuu wa TCU; Aunguruma TBC

Kaimu Katibu Mkuu wa TCU; Aunguruma TBC

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
7,659
Reaction score
7,948
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio;
Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo ndogo ambayo ni aslimia 6% tu ila 94% iko Sawa na kuongeza kusema kuwa hiyo asilimia ni ndogo sana na kasoro hizo pia ni ndogo ndogo zinarekebishika.

Mfano wa kasoro hizo amesema ; ni baadhi ya wadahiliwa hao kuwa na namba zilizo tofautiana ila tatizo lilosababisha kuwa na namba tofauti limejulikana na hivyo litarekebishwa mapema.

Na amesema TCU, inapongeza vyuo vikuu kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakiki wanafunzi wakati wa udahili

Pia, amesema wanafunzi waendelee na masomo yao huku TCU ikifanya mawasiliano na vyuo vikuu hivyo ili kutatua kasoro hizo.

Hata hivyo, Kaimu Katibu Mkuu huyo amesisitiza kuwa ni kasoro ndogo ndogo sana, hivyo wanafunzi wasiwe na wasiwasi.

Hivyo, kwa kauli hiyo inaonesha wanafunzi waliokuwa wametajwa wako huru kuendelea na masomo yao.

Chanzo: Junguu Kuu, TBC Taifa, Radio.
 
Amesema walio kuwa na Tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo ndogo ambayo ni aslimia 6% tu ila 94% iko Sawa na kuongeza kusema kuwa hiyo asilimia ni ndogo sana na kasoro hizo pia ni ndogo ndogo zinarekebishika.

Na amesema TCU, inapongeza vyuo vikuu kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakiki wanafunzi wakati wa udahili

Pia, amesema wanafunzi waendelee na masomo yao huku TCU ikifanya mawasiliano na vyuo vikuu hivyo ili kutatua kasoro hizo.

Hata hivyo, Kaimu Katibu Mkuu huyo amesisitiza kuwa ni kasoro ndogo ndogo sana, hivyo wanafunzi wasiwe na wasiwasi.

Hivyo, kwa kauli hiyo inaonesha wanafunzi waliokuwa wametajwa wako huru kuendelea na masomo yao.

Chanzo: Junguu Kuu, TBC Taifa, Radio.
Wanastahili adhabu ipi TCU kuchafua majina ya wanafunzi walioko vyuoni na waliomaliza kutajwa kwenye ripoti yao?
 
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio;
Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo ndogo ambayo ni aslimia 6% tu ila 94% iko Sawa na kuongeza kusema kuwa hiyo asilimia ni ndogo sana na kasoro hizo pia ni ndogo ndogo zinarekebishika.

Mfano wa kasoro hizo amesema ; ni baadhi ya wadahiliwa hao kuwa na namba zilizo tofautiana ila tatizo lilosababisha kuwa na namba tofauti limejulikana na hivyo litarekebishwa mapema.

Na amesema TCU, inapongeza vyuo vikuu kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakiki wanafunzi wakati wa udahili

Pia, amesema wanafunzi waendelee na masomo yao huku TCU ikifanya mawasiliano na vyuo vikuu hivyo ili kutatua kasoro hizo.

Hata hivyo, Kaimu Katibu Mkuu huyo amesisitiza kuwa ni kasoro ndogo ndogo sana, hivyo wanafunzi wasiwe na wasiwasi.

Hivyo, kwa kauli hiyo inaonesha wanafunzi waliokuwa wametajwa wako huru kuendelea na masomo yao.

Chanzo: Junguu Kuu, TBC Taifa, Radio.
Hiyo channel ipo nchi gani na king'amuzi gani?
 
Apewe ukatibu mkuu au atumbuliwe kabisa..
 
Wanastahili adhabu ipi TCU kuchafua majina ya wanafunzi walioko vyuoni na waliomaliza kutajwa kwenye ripoti yao?

Mkuu, sasa daaah itakuwa ngumu kuwapa TCU adhabu maana Kaimu Katibu Mkuu, amesema ni kweli wanafunzi hao wanakasoro japo ni ndogo ndogo zinazorekebishika.

Ila kwa ujumla, pole zao kwa wote waliochafuliwa waendelee mbele na maisha na walio vyuoni wasome kwa bidii.
 
Hiyo channel ipo nchi gani na king'amuzi gani?

Nimesikia redioni TBC FM kipindi jungu kuu, saa 3:00 usiku huu nyuzi za station FM 87.5MHz.
 
Hatuna waandishi wazuri wa habari maana mtu anaandika tofauti na kilichosemwa kila Gazeti linajisikia litavyotaka pamba habari
 
Waliosoma LLB na law school na hawana kazi hapa ndo wangeanzia kutengeneza majina yao
 
Sijui hii kesi nimwuzie Tundu Lissu ili awajambishe sawasawa hawa mapopoma?
 
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio;
Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo ndogo ambayo ni aslimia 6% tu ila 94% iko Sawa na kuongeza kusema kuwa hiyo asilimia ni ndogo sana na kasoro hizo pia ni ndogo ndogo zinarekebishika.

Mfano wa kasoro hizo amesema ; ni baadhi ya wadahiliwa hao kuwa na namba zilizo tofautiana ila tatizo lilosababisha kuwa na namba tofauti limejulikana na hivyo litarekebishwa mapema.

Na amesema TCU, inapongeza vyuo vikuu kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakiki wanafunzi wakati wa udahili

Pia, amesema wanafunzi waendelee na masomo yao huku TCU ikifanya mawasiliano na vyuo vikuu hivyo ili kutatua kasoro hizo.

Hata hivyo, Kaimu Katibu Mkuu huyo amesisitiza kuwa ni kasoro ndogo ndogo sana, hivyo wanafunzi wasiwe na wasiwasi.

Hivyo, kwa kauli hiyo inaonesha wanafunzi waliokuwa wametajwa wako huru kuendelea na masomo yao.

Chanzo: Junguu Kuu, TBC Taifa, Radio.
 
Hatuna waandishi wazuri wa habari maana mtu anaandika tofauti na kilichosemwa kila Gazeti linajisikia litavyotaka pamba habari

😵😵😵😵😵😱😱😱🙄🙄🙄
 
Yule jamaa jana alitema cheche hatari, nikimsikia akiwaambia tcu waache kucheza na maisha ya watu, jukumu la kumkagua mwanafunzi ni lao wao, huu ukurupukaji sijui utaisha lini
 
Prof. Eliuti Mwageni, ambaye ni Kaimu Katibu Mkuu wa TCU, leo usiku kupitia kipindi cha jungu kuu TBC Taifa, redio;
Amesema walio kuwa na tatizo na vigezo vya kuingia vyuoni ni kasoro ndogo ndogo ambayo ni aslimia 6% tu ila 94% iko Sawa na kuongeza kusema kuwa hiyo asilimia ni ndogo sana na kasoro hizo pia ni ndogo ndogo zinarekebishika.

Mfano wa kasoro hizo amesema ; ni baadhi ya wadahiliwa hao kuwa na namba zilizo tofautiana ila tatizo lilosababisha kuwa na namba tofauti limejulikana na hivyo litarekebishwa mapema.

Na amesema TCU, inapongeza vyuo vikuu kwa kufanya kazi nzuri ya kuhakiki wanafunzi wakati wa udahili

Pia, amesema wanafunzi waendelee na masomo yao huku TCU ikifanya mawasiliano na vyuo vikuu hivyo ili kutatua kasoro hizo.

Hata hivyo, Kaimu Katibu Mkuu huyo amesisitiza kuwa ni kasoro ndogo ndogo sana, hivyo wanafunzi wasiwe na wasiwasi.

Hivyo, kwa kauli hiyo inaonesha wanafunzi waliokuwa wametajwa wako huru kuendelea na masomo yao.

Chanzo: Junguu Kuu, TBC Taifa, Radio.
hii ni Isidingo part ngapi vile?
 
Back
Top Bottom