James Mwidoro
Member
- Aug 22, 2016
- 71
- 93
Wakuu nimesafiri mikoa kadhaa ila sehemu ya kula kwa sehemu nyingi ni shida tu, na sehemu nyingine madereva wanafanya makusudi kwasababu kuna kaposho wanapewa, mfano kwa wale wasafiri kutoka Mtwara to Dar mara nyingi tunakula Nangulukulu, sahani ya chakula ni 5000 mpaka 6000,
Mwanza to Dar na mikoa mingine sehemu ya kula ni Singida chakula cha pale hakina thamani kabisa na chenyewe bei ni ile ile.
Wanaotoka Kigoma kupitia Kasulu wanakula Kakonko angalau chakula kipo vizuri na bei reasonable,
Wanaopita njia ya Tabora mnapiga mlo Kaliua ila cha ajabu kuna kampuni fulani huwa inapitiliza inakuja kusimama mbele kidogo ya Tabora hapo chakula ni 6000 wakati wangekula Kaliua ingewa 3000,
Hapa dereva anategemea kamisheni kampuni ya Adventure mnaongoza kwa tabia hii, ofcoz mnakera na watu watahama mabasi yenu.
Arusha dar wanakula Mombo ofcoz chakula sio kibaya bei ni ile ile ya kisafiri 5000. Basi la Kilimanjaro ni tofauti ukipanda utaenda kula kwenye hotel yao na unapewa nusu saa ya kula, maaanake huruhusiwi kupanda na chakula bei ni ile ile ya kisafiri, kampuni nyingine zingeiga utaratibu huu hakika kila mmoja angefurahia safari.