Ni lini mtaachana na akili za kuishi maisha ya wengine na mkaanza kuishi maisha yenu ?Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu tupeane elimu ya Maana ya utamaduni huu!
Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu tupeane elimu ya Maana ya utamaduni huu!
Watu wanakuzodoa mwanzisha thread lakini nadhani una hoja nzuri sana. Kwanini nchi zetu marais wanajipeleka kuweka mawe ya misingi au kufungua kila kitu? Kuna umuhimu gani? Hawana kazi za maana za kufanya! Mimi ni mmoja ya watu wanaopinga sana sana huu utaratibu! Viongozi wetu hawafanyi juhudi za maana wanapokuwa kwenye nafasi zao na ndio maana wanataka kutumia hizo nafasi kuwapumbaza wananchi!Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu tupeane elimu ya Maana ya utamaduni huu!
Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu tupeane elimu ya Maana ya utamaduni huu!
KILA MTU ANA UHURU WA KUTOA MAONIWakati mwingine kama mtu huna cha kuandika ni bora hata basi ukapitia nyuzi za wengine ili ujifunze kitu. Kutafuta kiki kuna style nyingi maana hata hii ya kufungua uzi ili mradi watu wasome, nayo inashika kasi sana.
Hivi huwezi hata kufungua uzi ukawaelimisha watu kuhusu jambo la maendeleo? Au njia bora za kufanya usafi? Au kuhusu kilimo bora? Basi hata ulinzi shirikishi??
Hii ya kukaa kulalamika haikusaidii ndugu, kwanza ni sawa na kuwa unawatukana babu na bibi zako walioishi miaka hiyo ambayo wangetakiwa kuwa wanafanya hayo waliyoyafanya wa ulaya maana maendeleo yao sio ya miaka 61 iliyopita, waliendelea miaka 100 na zaidi iliyopita na hakuna mtu wa kizazi hiki aliyekuwepo..
ulaya ni ulaya..hapa tupo Afrika ta Mashariki. tuna namna yetu na taratibu zetu.Ni kawaida kusikia kiongozi wa nchi anaweka jiwe la msingi au kufungua jengo au hata choo, je mambo haya huko ulaya yapo? Au wao wanaishi sasa na sisi tunaishi juzi au Jana ya maendeleo Yao? Hebu tupeane elimu ya Maana ya utamaduni huu!
Ww ya kwako iko wapi? Ningekuona wa maana sana km hii thread ungepita bila kuandika chochote.Mada zingine kiujumla hazina umuhimu wowote moja wapo ni hii.
Hata nguo unazovaa zinatoka ulaya kabla ya kuja kwa wakoloni mlikuwa uchi kama nyaniNi lini mtaachana na akili za kuishi maisha ya wengine na mkaanza kuishi maisha yenu ?
MNALAZIMISHA KUWA COPY YA WATU WENGINE
Nyani shoga kama baba yako mzaziHata nguo unazovaa zinatoka ulaya kabla ya kuja kwa wakoloni mlikuwa uchi kama nyani