Je, sheria ya SUMATRA inaruhusu mabasi kuanza safari saa ngapi?

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Wilaya ya kalambo kuna basi linaitwa kasitu express linafanya masafa yake kati ya Mtutumbe, Matai na Sumbawanga manispaa linaanza safari zake huko Mtutumbe saa nane ya asubuhi linafika matai saa kumi za asubuhi.

Swali langu Je DTO afande mila na wenzake wanazingatia sheria au wamepewa rushwa?

Tafadhali like, share na comment hadi SERIKALI isikie ili tuokoe maisha ya wenzetu maana sahizi matukio ya utekaji na uporaji yameshika kasi.
 
Mkuu weka uzi wako vizuri hatuna saa nane ya asubuhi wala saa kumi ya asubuhi,unless otherwise kama ni saa za kingereza.
 
Nahisi bando LA dereva Wa Kasitu huwa linakata SAA kumi na mbili asubuhi, hivyo inabidi aliamshe SAA nane , kuepusha lisichache
Yani hilo bando inachekesha, eti halichach lakini mtu anaacha kufanya interview ili amalizie bando ambalo halichachi!!!!! Mara anasimamisha gari ili amalizie bando!!!!! Kama halichachi mbona watu wanaacha kufanya mambo ya msingi ili wamalizie bando? Akili kumukichwa.
 
Ulisikiliza tangazo vizuri aliesimamisha interview kwaajili ya bando anaitwa nani? DAUD Atakuwa ni Bashi.
 
Back
Top Bottom