ZaBeast
JF-Expert Member
- Aug 17, 2015
- 777
- 331
Salaam kwenu ndugu,
Salaam kwenu moderators,
Salaam kwa Jamii media group,
Salaam.... Salaam!
Binadamu tumeumbwa kutawala.
Maana yake Usipo jitawala lazima utatawaliwa.
Hii haina maana kutawaliwa ki koloni as in Slavery. Hapana isipokuwa kung'amua wewe kama binadamu una nafasi ipi hapa duniani na wewe ni nani?
Sis binadamu ni viumbe ambao tuna uwezo mkubwa saana katika kuamua maisha yetu yawe vipi muda wowote tunapotaka kuwa hivyo...
Tukiishi kwa kutokujitambua tuaishia katika utumwa mbaya zaidi, utumwa wa ki fikra.
Namna hii ya kutawaliwa ni mbaya zaidi kuliko wazee wetu waliotawaliwa na wakoloni.
Kwa kusema hayo, naomba niseme kwamba Dunia ina badilika kila kukicha tulianzia zama za mawe, tukaenda Zama za chuma, tukaenda zama za viwanda, tukaenda zama za Mawasiliano/ utandawazi "information age".
Zama za Utandawazi zina fursa nyingi saana binafsi nimetumia fursa hizo na ninafurahi kuona kwamba sasa zama za utandawazi zinafungua milango kwa binadamu kujitambua...
Si muda mrefu zama za utandawazi zitaisha tutaingia zama ingine ama tayari tupo zama ingine ambayo kwa kingereza inaitwa "ENLIGHTMENT AGE"
Nawaombeni ndugu zangu zama hii isitupite kama hizo zingine zimetupita tugange yajayo kama wazee wetu walivyotu hamasisha...
Tuache lawama tuanze kuwajibika haipo siku dunia itakuwa nzuri na itamtendea kila mtu haki isipokuwa sisi tunanguvu ya kuibadilisha dunia sababu tunaitawala...
Suala la uchumi kwa nchi za Africa kuwa mgumu zaidi ni wazi kwamba tusipofunga mkanda we can not be any better...
Hivi ninavyomfuatilia Rais mpya wa USA naona dalili za kutaka kutuacha tujitegemee naomba awe na busara moja tu afanye hivyo kwa kutupa transition period la sivyo tutaishi maisha magumu zaidi kuliko haya ambayo tuna lalamika kila siku kwamba Dr. John Magufuli amebana....
Tuanze sasa Tanzania fursa zipo nyingi.... tuache kuwa na big ego tu control our egos, there is always a way forward..
Samahani kwa kuchanganya lugha...
Natumaini nimeeleza kiasi cha kupata ninacho maanisha..
Asante kwa muda wako.
Mungu akubariki saana,
Regards,